UMASIKINI NA MADHARA YAKE

Umasikini hauji kwa bahati mbaya maishani ili ni kwa vile tu watu wanavyoish mfumo wa maisha wanao utumia ndio unawapelekea kuwa masikini

.

 

Ni hali ya kukosa mahitaji ya muhimu sana maishani mahitaji ambayo yanapo kosekana maisha yanakuwa ndivyo sivyo mahitajihayo ni kama yafuatayo.

  1. Chakula
  2. Mavazi
  3. Makazi
  4. Malazi
  5. Matibabu

Hayo niaadhi tu ya mahitaji ya msingi yanapo kosekana ndipo tunasema umasikini.

SABABU ZA  UMASIKINI

“Umasikinihsuji kwa bahati mbaya ni kama ubaguzi wa rangi, au ukolonibali umasikini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu”

Kile unachokifanya muda huu ndicho kia ashiria na kutoa picha kamili ya maisha yako ya badaye

Watu wote walio fanikiwa katika Nyanja mbalimabali za maisha kwenye uongozi, biashara, kilimo, elimu, siasa, michezo, uandishi, muziki, afya, imani, utangazaji; na kadhalika.

Waliacha mambo yafuatayo wewe pia uache endapo unahitaji kufanikiwa maishani mwako

  1. KUTOKUJARIBU; katika kutafuta mafanikio kuna vitu viwili vya kuchagua. Tambua kuwa maisha ni vita. Chagua kufa au kupambana jaribu kufanya mambo mbali mbali yanayo weza kukuingizia kipato ; kila siku unapaswa utambue kwamba hakuna mtu aliyezaliwa anajua mambo lakini kwa njia ya kujaribu utafanikiwa na uttatoboa maisha kiulaini.
  2. KUTOKUJIFUNZA; kama nilivyo kuambia hakuna mtu yeyote aliye zaliwa anajua kitu hivyo unapaswa kujifunza ili ufahamu nuachotakiwa kukifanya.
  3. ACHA WOGA NA WASIWASI; hata katika mapambano mtu aliye mwoga siku zote hafanikiwi na hata kweny maisha maisha mambo ni yale yale huwezi kufanikiwa katika maisha kama umetanguliza mbele wogw nw wasiwasi.
  4. ACHA MATUMIZI MABAYA YA PESA; watu hufanikiwa kupata pesa lakini wajui kuzitumia kwa matumizi mazuri kuna mambo yasiyo ya msingi achana nayo tumia pesa yako kwa matumizi ya muhimu
  5. HAKIKISHA UNAJALI MUDA; kuna jambo la msingi katika maisha nikuujali muda na muda peke yake maana ukiupoteza huo haurudishwi lakini hakikisha kila ulichopanga kukifanya ukifanye kwa wakati.

Ifahamike kuwa  kuna mambo mengi sana ya kuzaingatia na kuacha lakini hayo n baadhi ya mambo hayo.