usihukumu jambo usilolijua

mara nyingi watu humuhukumu mtu kwa vile wanavyomuona.kumbe mtu anaweza kuwa ana muomekano mzuri lakini anaroho mbaya sana

.

hukumu kwa kulijua jambo lilivyo na si kwamuonekano wa aliyefanya jambo. watu engi husababisha baadhi ya watu kukosa haki zao kwa kumuhukumu ule muonekano wake na si kwa jambo lilivyofanyika. hakimu mzuri husikiliza kesi au jambo kisha ndo hutoa hukumu yake.

187 Views